
JUMAPILI YA KUMALIZA WIKENDI! FRANCE, PORTUGAL, ITALY KUKIWASHA LEO
Jumapili ya kumaliza wikendi imekuja na mechi kali kabisa za kukuwezesha wewe kuondoka na mkwanja wa maana ndani ya Meridianbet. France, Portugal, Italy na wengine wengi wapo dimbani kukupatia ushindi. Serbia atamualika kwake Austria ambao kwenye mechi ya kwanza walitoka sare ya kufungana. Kila timu inahitaji ushindi leo hii iweze kusonga mbele kwenye hatua inayofuata….