
MUUNGANIKO WA KAZI YANGA WAPEWA ZIGO JINGINE
MCHORA ramani za ushindi ndani ya kikosi cha Yanga, Miguel Gamondi amewapa majukumu mengine mastaa wake wakiongozwa na muunganiko wake matata wa PAM unaowajumuisha Pacome Zouzoah, Aziz KI na Maxi Nzengeli kuendeleza kasi yao. Ikumbukwe kwamba PAM imehusika kwenye mabao ya kufunga 18 ambapo Pacome ana mabao manne huku Aziz KI na Maxi hawa wakiwa…