
UWANJA WA MKAPA : YANGA 2-0 SINGIDA FOUNTAIN GATE
MAXI Nzengeli nyota wa Yanga katupia kamba mbili kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Fountain Gate. Ni mchezo wa ligi ikiwa ni mzunguko wa 7 kwa msimu wa 2023/24. Chuma cha kwanza ilikuwa dakika ya 30 na kile cha pili dakika ya 38. Singida Fountain Gate kwenye eneo la ushambuliaji wanakutana na…