
HAPA NDIPO TATIZO LA SIMBA LILIPO
NI umakini kwenye safu ya kiungo, ulinzi na mlinda mlango wa Simba hawa ni tatizo ndani ya mechi tano mfululizo ambapo iliruhusu jumla ya mabao sita huku ile ya ushambuliaji ikitupia mabao 9. Ndani ya dakika 450 ukuta wa Simba unatunguliwa bao moja kila baada ya dakika 75 huku safu ya ushambuliaji ikiwa na hatari…