
KIVUMBI CHA LIGI KUU BARA KIPO HIVI
KIVUMBI cha Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 kinaendelea ikiwa ni wiki ya 8 kwa timu kushuka uwanjani kusaka ushindi ndani ya dakika 90. Singida Fountain Gate leo watakuwa nyumbani baada ya kutoka kucheza mchezo wao wa ligi dhidi ya Yanga, Uwanja wa Mkapa. Watamenyana na Ihefu kwenye mchezo wa leo Novemba Mosi Uwanja wa…