


WILDFIRE WINS: MCHEZO HUU UTAKUPA USHINDI KIRAHISI
Kipindi hiki cha kukaribia Msimu wa Sikukuu unaweza kujikusanyia mavuno mengi kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, hili ni shamba kubwa la michezo ya kasino ya mtandaoni inayotoa maokoto ya kutosha kila unapocheza. Moja ya michezo ya kasino ya mtandaoni inayolipa Zaidi ni Wildfire Wins ni mchezo wa kasino wenye safuwima tano zilizopangwa kwenye safu…

HIVI NDIVYO SIMBA WALIVYOLOWA KWA MKAPA MBELE YA MASHABIKI WAO
MWENDO wa 5G mkono ulikuwa jana Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi ambapo baada ya dakika 90 ilikuwa Simba 1-5 Yanga. Ni Yanga walianza kupata bao la kuongoza mapema kabisa dakika ya tatu kupitia kwa Kennedy Musonda ambaye alitumia pasi ya Yao Attohoula aliyemwaga majalo ndani ya 18. Kipindi cha pili Yanga walianza…

Sloti Ya Wild 27 Kasino Ya Mtandaoni
CHEZA HAPA Alama za Ushindi sloti ya Wild 27 Tunapozungumzia alama za mchezo huu wa sloti, thamani ya chini zaidi inatolewa na miti minne ya matunda. Ambayo ni: Limau Chungwa Cheri Zabibu Ikiwa utaziunganisha alama hizi tatu kwenye mchanganyiko wa ushindi, utashinda mara mbili ya dau lako. Alama za nyota kijani na zambarau ndizo alama zinazofuata…

MAYELE, DIARRA, WAWAFANYE WAZAWA KUTAFAKARI UPYA
SHIRIKISHO la Soka Afrika (Caf), limetangaza timu na wachezaji kadha wa kadha wanaowania tuzo za Afrika. Hizo ni tuzo za ubora barani Afrika, Tanzania imeingia kupitia Yanga kama klabu kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania. Kabla kama Tanzania tulikuwa tuna rekodi ya kuwa na klabu iliyoivua ubingwa klabu bora ya Afrika pia bingwa…

SIMBA WATOA TAMKO BAADA YA KUPIGWA 5 G NA YANGA
NGOMA imekamilika kwa Simba kupoteza mchezo wa Kariakoo Dabi ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 1-5 Yanga. Mabao ya Aziz KI, Max Nzengeli ambaye alifunga mawili, Pacome kwa mkwaju wa penalti na Musonda Kennedy aliyefungulia pazia la mabao dakika ya tatu yametosha kuwatuliza Simba. Bao pekee la Simba lilifungwa na Kibu Dennis ambaye alitumia…

UWANJA WA MKAPA: SIMBA 1-5 YANGA
Kipindi cha pili Yanga walionyesha wanahitaji ushindi na kufunga mabao kupitia kwa Maxi Nzengeli ambaye alifunga mawili dakika ya 64, 77, Aziz KI dakika ya 73, Pacome bao la tano dakika ya 87 kwa mkwaju wa penalti. Kariakoo Dabi Uwanja wa Mkapa upinzani ni mkubwa kwa timu zote mbili kusaka ushindi kwenye mchezo huo. Dakika…

JESHI LA SIMBA DHIDI YA YANGA HILI HAPA
ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba ameanza na jeshi hili dhidi ya watani zao wa jadi Yanga. Novemba 5 2023 itakuwa ni rekodi kwa wababe hawa wawili kusaka pointi tatu baada ya dakika 90 kukamilika. Hiki hapa kikosi cha Simba kipo namna hii:- Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohamed Hussein, Henock Inonga, Che Malone, Fabrice Ngoma,…

JESHI LA YANGA DHIDI YA SIMBA LIPO HIVI
KARIAKOO Dabi presha yake ipo juu kwa sasa huku kila timu ikiwa na hesabu za kukomba pointi tatu. Miguel Gamond, Kocha Mkuu wa Yanga jeshi lake ambalo amelipa kuanza dhidi ya watani zao wa jadi Simba lipo namna hii:- Djigui Diarra Yao Attouhula Joyce Lomalisa Bacca Khalid Aucho Maxi Nzengeli Mudhathir Yahya Kennedy Musonda Aziz…

JUMAPILI HII MIKWANJA UPO KAMA KAWA KWA MECHI ZA ULAYA
Najua unajua lakini nakujuza tena sehemu pekee ambayo unaweza kuchukua maokoto yako kirahisi ni Meridianbet ambapo wameweka ODDS KUBWA katika michezo ambayo itapigwa jumapili ili kukuwezesha kupiga mkwanja wa kutosha. Unachotakiwa kufanya ni kutembelea tovuti ya Meridianbet na kuchagua timu zako Jumapili ya leo na kuweka dau lako ambalo linaanzia shilingi 100 na zaidi ili uweze kujipigia…

NYOTA HAWA WAMEWAKA KWA MKAPA
MASTAA sita kutoka Simba na Yanga nyota zao zimeonekana kuwaka kutokana na kuwa na zali katika kuhusika kwenye ushindi wa timu zao ndani ya dakika 90. Mechi mbili tofauti za watani wa jadi walizotumia Uwanja wa Mkapa walikomba pointi tatu wote kwa nyakati zao. Ni Yanga 2-0 Singida Fountain Gate ngoma ilipigwa Oktoba 27, Simba…

HABARI ODDS KUBWA, Machaguo Zaidi Ya 1000 Yapo Meridianbet
Mechi ya mwisho leo katika ligi hiyo itahitimishwa na vijana wa Stephano Pioli AC Milan ambao watakuwa nyumbani kwao San Siro kukiwasha dhidi ya Udinese Calcio. Milan hajapata ushindi mechi mbili mfululizo kwenye ligi. 1.42 ndio ODDS yake ya ushindi na mgeni wake kapewa 6.86. Beti sasa mechi hii. LALIGA itarindima kivyake pia na mechi ya mapema kabisa ni…

HELLO NOVEMBA, MKIA UTAKATIKA AMA NUSUNUSU KUYEYUKA
YAPO mengi yanayoongeza kasi na nguvu kwenye utendaji ikiwa ni pamoja na uhakika wa kuanza kesho ukiwa na tabasamu baada ya kumaliza kazi ya kula ng’ombe mzima aliyekuwa msumbufu. Ajabu ni kwamba kuna waliomaliza ng’ombe na kazi ya kumaliza mkia ikawa ni kivumbi. Hapa tunakuletea baadhi ya nyota ndani ya Simba na Yanga ambao wanasubiri…

MAANDALIZI MAKINI YANAHITAJIKA KUPATA MATOKEO KWA MKAPA
KIKUBWA ambacho kinatakiwa kwa wachezaji kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi ni kulindana ndani ya dakika zote 90. Presha ni kubwa kwa kila upande hilo lipo wazi ila kuna ulazima wa kila mmoja kuwa makini kwenye mchezo ambao unasubiriwa kwa shauku kubwa. Mchezo wa Simba na Yanga kila Mtanzania anapenda kuona burudani. Kuonyesha ubora wa ligi…

SIMBA KUIMULIA YANGA VINGINE
WAKIJIANDAA na mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu wa Simba, Robert Oliveira ‘Robertinho’ amechimba mkwara mzito kuwa wametumia uzito wa michezo yao miwili ya AFL, dhidi ya Al Ahly kujiandaa na uzito wa mchezo wa kesho. Simba wanaingia katika mchezo huu wakiwa wamecheza mchezo mmoja tu wa Ligi Kuu Bara…

WILD ICY FRUITS SLOTI RAHISI KUSHINDA
Sloti ya Wild Icy Fruits Kitu kinachonifanya niichague Meridianbet ni odds kubwa, machaguo mengi,bonasi kibao, ofa, promosheni na kubwa Zaidi michezo ya kasino ya mtandaoni na sloti rahisi kushinda, kama vile Sloti ya Wild Icy Fruits yenye mistari 40 ya malipo yaani kiufupi ina njia nyingi sana zinazorahisisha mchezaji kushinda. Matikiti na machungwa yanaongeza utamu…

ROBERTINHO AIMALIZA YANGA KIKUBWA
WAKIJIANDAA na mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu wa Simba, Robert Olivieira ‘Robertinho’ amechimba mkwara mzito kuwa wametumia uzito wa michezo yao miwili ya AFL, dhidi ya Al Ahly kujiandaa na uzito wa mchezo wa Jumapili huku akitenga siku tano sawa na saa 120 kujiandaa na mchezo huo. Kikosi cha…