ISHU YA MKANDAJI KIBU KUIBUKIA YANGA IPO HIVI
MWAMBA Kibu Dennis kiungo mshambuliaji wa Simba anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa Yanga ambao wanahitaji saini yake ili kuongeza nguvu katika kikosi hicho kinachoongoza Ligi Kuu Bara.
MWAMBA Kibu Dennis kiungo mshambuliaji wa Simba anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa Yanga ambao wanahitaji saini yake ili kuongeza nguvu katika kikosi hicho kinachoongoza Ligi Kuu Bara.
Hii ni wikiendi ya kuokota maokoto na sehemu pekee ya kupata maokoto hayo ni pale kwenye nyumba ya mabingwa wa kubashiri kampuni ya Meridianbet kupitia michezo itakayokwenda kupigwa wikiendi hii. Ligi mbalimbali zitarejea leo Jumamosi na kumuwezesha mteja wa Meridianbet kufurahia wikiendi yake, Kwani mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamegawa ODDS KUBWA katika michezo…
Jiunge na promosheni ya Kusisimua iitwayo NON-STOP DROP, inayotolewa na Meridianbet Jiandae kwa sherehe ya zawadi za mamilioni ya pesa zisizoweza kufikirika. Promosheni hii ya NON-STOP DROP inaletwa kwako na Meridianbet kasino ya mtandaoni kwa ushirikiano na Playson. Unachohitaji kufanya ni kucheza michezo ya sloti iliyochaguliwa kutoka kwa mtengenezaji maarufu huyu na unaweza kuchukua sehemu…
FT: LIGI Kuu Bara Uwanja wa Azam Complex Simba 2-0 Mtibwa Sugar Goal Michael Fred dakika ya 35. Saleh Karabaka dk 64. Mchezo wa mzunguko wa pili ni Simba v Mtibwa Sugar kwa wababe hawa wawili kusaka pointi tatu ndani ya uwanja. Ikumbukwe kwamba Simba mchezo wake uliopita ilikuwa ugenini ubao wa Uwanja wa Majaliwa…
KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuber Katwila amesema kuwa hawana hofu na mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Azam Complex, Mei 3 2024. Ipo wazi kwamba mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja…
Je unaanzaje wikendi yako?. Kama hujui ni rahisi sana unachotakiw akufanya ni kuingia meridianbet sasa na kusuka jamvi lako la maana kabisa ambalo unajua kuwa lazima utoboe. BUNDESLIGA itarindima leo ambapo RB Leipzig baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya TSG Hoffenheim. Mwenyeji ametoka kupoteza mchezo wake…
WAKATI tetesi zikieleza kuwa Kibu Dennis kagomea kuongeza dili jipya ndani ya timu hiyo akiwa na ofa zaidi ya tatu mezani kimtindo uongozi wa Simba umejibu hoja hiyo. Ipo wazi kwamba Kibu ni chaguo la kwanza la makocha wote ambao wamepita Simba ikiwa ni Robert Oliveira, Abdelhakh Benchikha na sasa Juma Mgunda. Kibu anatajwa kuwa…
MATAJIRI wa Dar Azam FC leo Mei 3 2024 wanakibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa CRDB Federation dhidi ya Namungo FC. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex ikiwa ni hatua ya robo fainali saa 2:300 usiku kwa wababe hao wawili kusaka ushindi kwa timu itakayotinga hatua ya nusu fainali. Tayari kwenye robo…
Jiandae kwa mshangao wa kustaajabisha Meridianbet kasino ya mtandaoni wiki hii, una siku 5 tu za kujichukulia maokoto kuanzia leo. Jiunge na promosheni ya Cash Days na shinda zawadi za pesa kibao kiwango cha Tsh Milioni Mia Mbili (200,000,000/= TZS). Mwezi Mei ni mwezi wa wafanyakazi, Kubeti na kucheza kasino ya mtandaoni nayo ni…
KIUNGO wa Simba Clatous Chama ataukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex kutokana na adhabu ya kufungiwa mechi tatu kwa kosa la kumchezea faulo nyota wa Yanga, Nickson Kibabage kwenye Kariakoo Dabi. Juma Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba alipoulizwa kuhusu kumksa Chama alibainisha kuwa wapo wachezaji…
MWAMBA wa Yanga, kipa Djigui Diarra chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miguel Gamondi anatajwa kuwa kwenye rada za timu kubwa Afrika ambazo zinahitaji kupata saini yake
ULE mchezo unaosubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki Bongo Mzizima Dabi umepangiwa tarehe na sasa siku zinahesabika kufika muda wa wababe wawili kusaka ushindi. Ni Mzizima Dabi inatarajiwa kuwa Mei 9 kwa wababe wawili Azam FC kumenyana na Simba. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba baada ya dakika…
MKANDAJI Kibu Dennis ambaye kwa sasa anapambania hali yake kurejea kwenye ubora ameibua jambo ndani ya Simba baada ya tetesi kueleza kwamba ana ofa kutoka timu inayoshiriki Ligi Kuu Bara. Kibu mchezo uliopita dhidi ya Namungo alikwama kukamilisha dakika 90 kuna hatihati akakosekana kwenye mchezo wa kesho Mei 3 2024 dhidi ya Mtibwa Sugar. Taarifa…
Leo hii kuna mechi za kupiga pesa yaani ni kivumbi leo michuano ya Europa na Konferensi hatua ya Nusu Fainali ambapo kila timu inahitaji ushindi ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kusonga Fainali. Vijana wa De Rossi AS Roma watamenyana dhidi ya Bayer Leverkusen ambao ndio timu pekee kwenye ligi bora Duniani Ulaya ambayo haijapoteza…
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu nchini imezitoza faini Simba na Yanga kutokana na kosa la kuingia katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kupitia milango isiyo rasmi siku ya mchezo wa KariakooDerby uliyochezwa April 20, 2024. Kutokana na kosa hilo kamati imeitoza Yanga SC Shilingi milioni tano (5,000,000) baada ya…
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa licha ya kupata ushindi kwenye mchezo dhidi ya Tabora United bado hajafurahishwa na viwango vya wachezaji wake. Kwenye mchezo huo uliochezwa Mei Mosi 2024 Yanga ilipata ushindi na kutinga hatua ya nusu fainali ndani ya CRDB Federation Cup ambapo wao ni mabingwa watetezi. “Tumecheza vizuri na…
BAADA ya kugawana pointi mojamoja dhidi ya Namungo, Uwanja wa Majaliwa kete inayofuata kwa Simba ni dhidi ya Mtibwa Sugar. Chini ya Kocha Mkuu Juma Mgunda akishirikiana na Seleman Matola mchezo wao wa kwanza kukaa benchi walishuhudia ubao ukisoma Namungo 2-2 Simba. Timu hiyo ndani ya tatu bora haijawa na mwendo mzuri na itamkosa kiungo…