
YANGA WABADILI HESABU, MIPANGO IPO HIVI SASA
Kocha Mkuu Yanga, Miguel Gamondi ameweka wazi kuwa hesabu zake kwenye anga la kimataifa kwa ajili ya mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CR Belouzdad inayonolewa na Mbrazili Marcos Paqueta aliyechukua nafasi ya Sven Vandebroeck zimeanza sasa. Sven kwa sasa ni kocha huru ambapo anatajwa kwamba yupo kwenye hesabu za kurejea ndani ya…