
SIMBA YAKOMBA POINTI TATU ZA DODOMA JIJI, 6-0 KIBU ATUPIA
NI mbinu za Kocha Mkuu Fadlu Davids anayekinoa kikosi cha Simba zimejibu wakipata ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Dodoma Jiji mchezo wa Ligi Kuu Bara ikiwa ni mzunguko wa pili kwenye ligi namba nne kwa ubora Uwanja wa KMC, Complex. Katika mchezo huo ni Ellie Mpanzu alifungua akaunti ya mabao dakika ya 15, Jean…