KIBU D ALIYEYUSHA MWAKA BILA KUFUNGA BONGO

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Kibu Dennis ambaye ni maarufu kwa jina la mkandaji alipitisha mwaka mzima bila kufunga ndani ya ligi kwenye mechi za ushindani ambapo mara ya mwisho alifanya hivyo msimu wa 2023/24 jambo ambalo lilikuwa ni gumzo kubwa. Ikumbukwe kwamba nyota huyo ambaye ni chaguo la kwanza katika kikosi cha Simba kinachonolewa na…

Read More

KOCHA YANGA KWENYE HESABU NDEFU

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hamdi Miloud ameweka wazi wachezaji wake wanafanya kazi kubwa kutafuta matokeo uwanjani jambo ambalo linapaswa kuwa endelevu kutokana na ushindani uliopo ndani ya ligi. Ipo wazi kwamba ndani ya Februari kocha huyo ametwaa tuzo ya kocha bora baada ya kuwashinda wawili aliongia nao kwenye fainali ya kumtafuta kocha bora. Katika mechi…

Read More

SINGIDA BLACK STARS KUZINDUA UWANJA KUKIPIGA NA YANGA

Klabu ya Singida Black Stars itazindua uwanja wake mpya wa ’AIRTEL STADIUM’ Machi 24, 2025. Uwanja huo utazinduliwa kwa mechi ya kirafiki katibya Singida Black stars dhidi ya Yanga SC. Kwenye taarifa yao, Singida wamesema kuwa uwanja huo umejengwa kwa viwango vya kimataifa na unatarajiwa kuwa kitovu cha mashindano makubwa ya kitaifa na kimataifa. Je,…

Read More

HUSSNA AFICHUA MAZITO ALIYOKUTANA NAYO OMAN ALIPOISHI MIAKA 2 – AFIKA na WADADA WENGINE 6 AIRPORT…

Watanzania 7 waliokuwa wakifanya kazi za ndani nchini Oman wamerejea nchini ambapo @zali_mapito aliwapokea na kuzungumza nao kuhusu maisha waliyopitia wakiwa nchini Oman na sababu zilizowarejesha nchini. Miongoni mwao yupo mwanadada Husna, ambaye amefanya kazi Oman kwa miaka 2, akiwa tayari ameshapitia kwenye nyumba za mabosi wake watatu. Husna ameeleza yote kuhusu kubadilisha mabosi hao…

Read More

PATA MAMILIONI NA KASINO MTANDAONI

Historia ya Kasino inaonesha kwamba, watu wengi wanaocheza kasino hushinda kuliko kushindwa, Meridianbet Kasino ya Mtandaoni ni chimbo la utajiri na kukamilisha ndoto za mtu yeyote. Kutana na mchezo wa kasino unaitwa Vegas Mega Spin ni mchezo wa sloti wenye nguzo tano katika mistari mitatu na ina mistari 25 ya malipo iliyofungwa. Ili kupata ushindi…

Read More

MASTAA YANGA WAPEWA KAZI NA KOCHA WAO

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hamdi Miloud ameweka wazi wachezaji wake wanafanya kazi kubwa kutafuta matokeo uwanjani jambo ambalo linapaswa kuwa endelevu kutokana na ushindani uliopo ndani ya ligi. Miloud kibindoni ana tuzo ya kocha bora ndani ya Februari baada ya kukiongoza kikosi cha Yanga kwenye mechi 5 ambazo ni dakika 450 ushindi ilikuwa kwenye mechi…

Read More

KIBU AFUNGUKIA TUZO YAKE BONGO

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Kibu Dennis maarufu kwa jina la mkandaji amechekelea kutwaa tuzo yake ya kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara namba nne kwa ubora Afrika baada ya kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo dhidi ya Dodoma Jiji, Uwanja wa KMC Complex. Ikumbukwe kwamba Machi 14 2025 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja…

Read More

KIUNGO WA KAZI ANASEPA YANGA

INATAJWA kuwa kiungo wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga huenda akasepa baada ya msimu wa 2024/25 kugota mwisho kwa kuwa amepata timu ambayo inahitaji huduma yake kutokana na uwezo alionao. Ni Aziz Ki ambaye ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi kwenye eneo la kiungo akiwa ni mkali kwenye mapigo…

Read More

HAMISA MOBETTO ALIPUKA: “NIMECHOKA, NAOMBENI MNIACHE!”

Mwanamitindo na mjasiriamali maarufu, Hamisa Mobetto, ambaye pia ni mke wa nyota wa klabu ya Yanga SC na raia wa Burkina Faso, Stephanie Aziz Ki, amefunguka kwa uchungu kupitia ‘insta stories’ baada ya kuchoshwa na maneno ya watu mitandaoni. Kupitia ujumbe aliouchapisha, Hamisa ameonyesha kuchoka na mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa watumiaji wa…

Read More