YANGA YAWASHUKURU MASHABIKI KWA JAMBO HILI

WALTER Harson, Meneja wa Yanga amesema kuwa mchezo wao dhidi ya Singida Black Stars ulikuwa wenye ushindani mkubwa kutokana na mvua kubwa mchezo huo ulishindwa kumalizika huku wakiwashukuru mashabiki kwa kujitokeza kwa wingi kuwashangilia. Ni Machi 24 Singida Black Stars waliwakaribisha Yanga katika mchezo wa kirafiki ambapo ulikuwa maalumu kwa ajili ya uzinduzi wa Uwanja…

Read More

HII HAPA MITAMBO YA MABAO KUTOKA KARIAKOO

NDANI ya Ligi namba nne kwa ubora Afrika kuna mashine za kazi eneo la ushambuliaji ambazo zimekuwa kwenye mwendo mzuri kutoka kikosi cha Simba ambacho kinanolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Vita sio nyepesi kwenye eneo la ushambuliaji ambapo mabingwa watetezi Yanga wao pointi zao kibindoni ambazo ni 58 ni saw ana idadi ya mabao…

Read More

NAIBU HAMIS MWINJUMA AZINDUA UWANJA, REKODI YAANDIKWA

NAIBU Waziri Utamaduni Sanaa na Michezo Hamis  Mwinjuma, maarufu kwa jina la FA rasmi amezindua Uwanja wa Airtel, Singida ambao utatumiwa na timu hiyo kwa mechi za ushindani.  FA kwenye uzinduzi huo amepiga bonge moja ya penati ambayo ilimshinda mlinda mlango namba moja wa Singida Black Stars, Metacha Mnata. Ilikuwa ni kwa mguu wake wa…

Read More

MBEYA KWANZA HAWAPOI HUKO, KAZI INAENDELEA

KAZI inaendelea kwa Mbeya Kwanza ambao hawapoi kabisa kwani baada ya ushindi kwenye mchezo wao uliopita wa NBC Championship dhidi ya Polisi Tanzania sasa hesabu kubwa ni kwenye mchezo ujao dhidi ya Transit Camp. Katika mchezo huo Mbeya Kwanza iliyo nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 42 baada ya mechi 24…

Read More

SIMBA YATAMBIA UWEPO WA MWAMBA HUYU

UONGOZI wa Simba umetambia uwepo wa kinara wa kucheka na nyavu ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora, Jean Ahoua kwa msimu wa 2024/25 akiwa ni chaguo la kwanza la kocha. Ndani ya kikosi cha Simba kiungo huyo rekodi zinaonyesha kuwa amecheza jumla ya mechi 21 akikomba dakika 1,550 na…

Read More

YANGA KAMILI KUWAKABILI SINGIDA BLACK STARS

WALTER Harison, Meneja wa Yanga amesema kuwa Wananchi watapata burudani ambayo waliikosa kwa muda kutokana na mchezo wa kirafiki dhidi ya Singida Black Stars unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Airtel. Yanga inatarajiwa kushuka uwanjani Machi 24 2025 kwa ajili ya mchezo wa kirafiki amba oni maalumu kwa ajili ya uzinduzi wa uwanja mpya wa Singida Black…

Read More

Anza Wiki Yako na Meridianbet Sasa

Siku ya kuwa tajiri imefika chukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. England baada ya kushinda mechi yao iliyopita, leo hii watakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Latvia. Vijana wa Thomas Tuchel wanahitaji kuendeleza ushindi katika dimba la Wembley…

Read More

MECHI ZA MATAIFA ZIMEKUJA NA USHINDI LEO

Leo hii France, Portugal, Italy, Serbia wote wapo dimbani kuhakikisha huondoki patupu. Suka jamvi lako la ushindi na uibuke bingwa siku ya leo. Pesa ipo hapa kwa Ukraine dhidi ya Belgium ambao wapo chini ya Rudi Garcia na wenyeji wao wananolewa na Serhiy Rebrov. Timu hizi zilikutana kwenye EURO 2024 ambapo walitoshana nguvu. ODDS za…

Read More

TFF YAUFUNGULIA UWANJA WA CCM KIRUMBA, MWANZA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungulia uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kutumika kwa michezo ya Ligi baada ya kufanya marekebisho yaliyokidhi vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu. Taarifa ya TFF ya leo Machi 20, 2025 imeeleza kuwa Uwanja huo uliofungiwa kutokana na miundombinu yake kutofaa kutumika kama ilivyoainishwa kwenye masharti…

Read More

REKODI ZA SIMBA ZAVUNJWA NA YANGA

BAADA ya dakika 90 Kwenye Kariakoo Dabi ya Wanawake kukamilika na ubao kusoma Simba Queens 0-1 Yanga Princess rekodi ya timu hiyo kutopoteza pointi tatu ndani ya msimu wa 2024/25 imeyusha mazima na watani zao wa jadi. Ikumbukwe kwamba baada ya Simba Queens kucheza mechi 12 ilikuwa haijapoteza mchezo ndani ya ligi kwenye dakika 1,080…

Read More

NYOTA MPYA YANGA BALAA LAKE SIO LA KITOTO

MILOUD Hamdi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ingizo jipya ndani ya Yanga ambaye ni mshambuliaji Jonathan Ikangalombo ana spidi kubwa akiwa uwanjani jambo ambalo ni faida kwa timu kwenye mechi za ushindani. Kocha huyo ameweka wazi kuwa mshambuliaji huyo alikuwa hachezi kwenye mechi zilizopita kwa kuwa hakuwa fiti kwa asilimia kubwa jambo ambalo lilifanya…

Read More