
NANI KUSEPA NA TUZO YA AZIZ KI? NGOMA BADO MBICHI
KUNA vita kubwa ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika kwenye eneo la tuzo ya mfungaji bora ambayo kwa sasa ipo mikononi mwa Aziz Ki aliyetwaa msimu wa 2023/24 akiwa na uzi wa Yanga baada ya kutupia mabao 21. Kwa sasa kila timu ina wachezaji ambao wanafanya vizuri kwenye…