
TUNAMCHUKULIA POA SELEMAN MATOLA KISA MZAWA
KOCHA Pitso Mosimane aliamua kumsajili Selemani Matola katika kikosi cha Super Sport ya Afrika Kusini bila ya majaribio. Katika mahojiano yangu naye mwaka 2006, alisema hakukuwa na haja wakati huo kumjaribu tena Matola sababu mechi mbili Simba Vs Asante Kotoko ya Ghana na Tusker ya Kenya ambao wote walifungwa na Simba katika nusu Fainali na…