
SIMBA SC, YANGA SC KAZINI SAA 10:00 JIONI LIGI KUU BARA
MZUNGUKO wa pili unakwenda kugota mwisho ambapo timu nyingi zimebakiwa na mechi mbili huku Simba SC na Yanga SC zikiwa zimesaliwa na mechi tatu. Mchezo mmoja ni Yanga SC vs Simba ambao unatarajiwa kuchezwa Juni 25 2025, Uwanja wa Mkapa. Leo Juni 18 2025 timu zote zitakuwa uwanjani saa 10:00 kusaka pointi tatu. Hii hapa…