MWAMBA MUKWALA AWEKA REKODI YAKE, KAZI BADO

MWAMBA Steven Mukwala ameandika rekodi yake ya kuwa nyota wa kwanza kufunga hat trick ndani ya kikosi cha Simba kwa msimu wa 2024/25 ukiwa ni msimu wake wa kwanza. Nyota huyo anayevaa jezi namba 11 alifanya hivyo kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ilikuwa Machi Mosi 2025…

Read More

WABABE WA SERIE A WAKABANA KUWANIA UBINGWA

Shughuli imemalizika katika dimba la Diego Armando Maradona mjini Naples, wenyeji Napoli wametoshana nguvu na Inter Milan kwa sare ya 1-1 kwenye mechi dume kweli kweli, Inter Milan wakiwa wa kwanza kuliona lango kupitia kwa Federico Dimarco mapema dakika ya 22 kabla ya Philip Billing kusawazisha mambo jioni dakika ya 87. Inter wanaendelea kusalia kileleni…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA COASTAL UNION

UWANJA wa Sheikh Amri Abeid, Machi Mosi 2025 kikosi cha Simba kimekuwa na mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha kwanza ikiwa ni mchezo mzunguko wa pili. Hiki hapa kikosi ambacho kinatarajiwa kuanza dhidi ya Coastal Union hiki hapa:- Ally Salim David Kameta Nouma Chamou Hamza Jr Kagoma Yusuph Kibu Dennis Mavambo Mukwala Ahoua Mpanzu Akiba ni:-Abel,…

Read More

PAMBA JIJI WAMEPOTEZA MBELE YA YANGA

AZIZ Ki ambaye alianzia benchi kwenye mchezo dhidi ya Pamba Jiji, Uwanja wa CCM Kirumba amepachika mabao mawili kati ya matatu waliyonayo Yanga. Ubao umesoma Pamba Jiji 0-3 Yanga, Shadrack Boka alipachika bao la ufunguzi dakika ya 28 kwa pigo la faulo ni pointi tatu mali ya Yanga ambayo dakika 45 za mwanzo walikuwa wakishambuliwa…

Read More

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA PAMBA JIJI

HIKI hapa kikosi cha Yanga dhidi ya Pamba, Uwanja wa CCM Kirumba ambapo ingizo jipya ndani ya kikosi hicho kwenye dirisha dogo limeanzia benchi na walioanza kikosi cha kwanza ni Djigui Diarra, Israel Mwenda, Boka, Nondo. Ibrahim Bacca, Khalid Aucho, Duke Abuya, Mudathir Yahya washambuliaji wawili Prince Dube na Clement Mzize kiungo Maxi ameanza kikosi…

Read More