
WATATU SIMBA OUT, MTIKISIKO MKUBWA
NYOTA watatu wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids watakosekana kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Machi Mosi 2025 ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili. Kwenye msimamo Simba ni namba mbili baada ya mechi 20 imekusanya pointi 51 itakuwa na kibarua cha…