POLISI TANZANIA YAWAPIGA MKWARA MABINGWA

UONGOZI wa Polisi Tanzania umeweka wazi kuwa kuelekea kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, Oktoba 27 wataendelea pale ambapo wameishia kwa kucheza pira chukuchuku ili waweze kusepa na pointi tatu muhimu. Vinara hao wa Ligi Kuu Bara wakiwa na pointi tisa kibindoni baada ya kucheza mechi tatu na kutupia mabao matano…

Read More

SIMBA SC: TUTAKUWEPO UWANJA WA MKAPA

YANGA SC vs Simba SC mechi namba 184 inatarajiwa kupigwa Uwanja wa Mkapa, Juni 25 2025 ikiwa ni mzunguko wa pili kwa wababe hawa kukutana ndani ya uwanja katika dakika 180. Kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba SC 0-1 Yanga SC.  Mchezo wa leo…

Read More

YANGA YAFUNGUKIA ISHU YA DUBE KUTOFUNGA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa suala la mshambuliaji wa timu hiyo kutofunga litafika mwisho kwani licha ya kusemwa sana wapo wachezaji wengine ambao wamecheza muda mrefu bila kufunga ndani ya uwanja. Ikumbukwe kwamba Dube aliibuka Yanga akitokea kikosi cha Azam FC ambapo huko kwenye mechi ambazo alicheza alifunga mabao 7 msimu wa 2023/24 miongoni mwa…

Read More

MRITHI WA MIKOBA YA GOMES SIMBA HUYU HAPA

IMEELEZWA kuwa Rhulani Mokwena ni moja ya makocha ambao wanapewa chapuo la kuibuka ndani ya kikosi cha Simba.   Kocha huyo ambaye anaifundisha Mamelodi Sundowns anaweza kuja kuchukua mikoba ya Didier Gomes ambaye alibwaga manyanga. Mbali na jina la Mokwena pia Mserbia Milovan Cirkovic na Zdravko Logarusic pamoja na Josef Zinnbauer kocha wa zamani wa…

Read More

MANARA:WALINIDHIHAKI,ILA IMEJIBU SLOGAN

ANAANDIKA Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga:”Wapo walioidhihaki, na kuna wengine walinikejeli binafsi, wakasema sina jipya,nazikumbuka sana zile kashfa katika kituo kimoja cha Redio kuhusu kauli mbiu hii,walitumia wiki nzima kuiponda na kunishanbulia huku wakisema nawajaza Wananchi. “Kuna nyakati hadi wenzangu klabuni wakanishauri tubadili,nikawaambia hii Slogan imenijia kwa kuwa tunahitaji kurudisha makombe yetu,tuendelee nayo hii…

Read More

SIMBA HAWAJAKATA TAMAA KIMATAIFA, KAZI INAENDELEA

SHOMARI Kapombe, nahodha msaidizi wa Simba SC na beki wa kikosi hicho ameweka wazi kuwa wanatambua wamepoteza mchezo wa kwanza wa hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane lakini watapambana kupata matokeo mchezo wa pili. Ikumbukwe kwamba Mei 17 2025 kwenye mchezo wa hatua ya fainali ya kwanza uliochezwa nchini Morocco…

Read More

FURAHA YATAWALA SIKU YA MAMA KIGAMBONI

Kauli pekee ambayo unaweza kutumia ni kua furaha imetawala siku ya kina Mama duniani eneo la Kigamboni, Kwani mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet ndio waliofanikisha furaha hiyo kwa kutoa msaada katika eneo hilo Imekua utamaduni kwa magwiji hao wa michezo ya kubashiri wamekua wakijitahidi kurudisha kwenye jamii yao na leo wamefanikiwa kutoa…

Read More

ASANTE JANUARI, KARIBU MWEZI WA UPENDO

YAPO mengimengi ambayo yanakatisha tamaa lakini yasikupe maumivu ukaacha kupambana kwa ajili ya kufikia malengo. Ilikua hivyo Januari Mosi kwenye mapambano na sasa ni Januari 31, unadhani unaweza kusema nini zaidi ya asante Januari, karibu mwezi wa upendo Februari. Yote kwa yote kuna matukio ambayo yalitokea ndani ya Januari yataishi kwenye kumbukumbu namna hii katika…

Read More

SINGIDA BIG STARS NI WAMOTO KWELIKWELI

NGOMA ni nzito lakini inapigika kwenye Kombe la Mapinduzi 2023 ambapo Singida Big Stars wanajambo lao kwenye kombe hilo wakiwa ni wamoto kweli. Ni timu ya kwanza kutinga hatua ya nusu fainali ikitokea bara na jambo lao ambalo waliweka wazi tangu awali ni kutwaa taji hilo, hapa tunakuletea namna ilivyo:- Kazad balaa tupu Mshambuliaji wao…

Read More

GADIEL MICHAEL:TUNAWAHESHIMU RUVU SHOOTING,TUPO TAYARI

BEKI wa Simba, Gadiel Michael amesema kuwa kuelekea mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidiya Ruvu Shooting kutakuwa na mabadiliko kwa kuwa wachezaji wapo tayari licha ya ushindani kuwa mkubwa. Gadiel bado hajacheza ndani ya msimu wa 2021/22 kwa sasa katika mechi tano na nafas yake amekuwa akianza nyota Mohamed Hussein ambaye ni chaguo…

Read More