Yanga SC 2-0 Silver Strikers CAF Champions League, Uwanja wa Mkapa
Yanga SC 2-0 Silver Strikers CAF Champions League, ni matokeo ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba 25,2025. Ulikuwa ni mchezo muhimu kwa Yanga SC kuandika rekodi ya kufuzu hatua ya makundi kwa msimu wa 2025/26 baada ya ule wa ugenini Oktoba 18,2025 kupoteza kwa kufungwa bao 1-0. Mabao yote…