
MOROCCO MABINGWA WA PAMOJA CHAN 2024
HATIMAYE Pamoja CHAN 2024 imegota mwisho na mabingwa wakiwa ni Morocco baada ya kuoata ushindi katika mchezo wa fainali, Agosti 30 2025. Baada ya dakika 90, ubao wa Uwanja wa Moi, Nairobi umesoma Madagascar 2-3 Morocco. Katika mchezo wa leo mabao ya Madagascar yamefungwa na Felly dakika ya 9 na bao la pili limefungwa na…