
SIMBA KUTUA BONGO LEO WAKITOKEA AFRIKA KUSINI
BAADA ya kupoteza mbele ya Orlando Pirates wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Afrika leo Aprili 25 wanarejea. Ni jana Aprili 24 ulipigwa mpira wa kazi na dk 45 Simba walikuwa imara katika eneo la ulinzi huku lile la ushambuliaji ikiwa ni hafifu kwa kuwa walikuwa wakitengeneza mashambulizi ya kushtukiza. Dakika ya 58 alipoonyeshwa…