
AZAM FC WANA JAMBO LAO
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Yusuph Dabo amesema kuwa wanatambua ushindani ni mkubwa watazidi kupambana kwa kuwa wana jambo lao kila mchezouliopo mbele yao wakihitaji kufanya vizuri. Azam FC kwenye mechi mbili mfululizo iliambulia sare ilikuwa dhidi ya Tabora United na Tanzania Prisons. “Tupo imara kwenye mechi ambazo tunacheza na malengo yetu ni kuona kwamba…