
SIMBA:VIPERS HATUWAACHI SALAMA
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa hawatawaacha Vipers salama kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika licha ya kuwa watakuwa ugenini. Simba kwenye kundi C inaburuza mkia ikiwa haijakusanya pointi baada ya kucheza mechi mbili ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Horoya na ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 0-3 Raja Casablanca….