
AL AHLY YAGOMA KUSHIRIKI MECHI YAO YA DABI DHIDI YA ZAMALEK
Klabu ya Al Ahly ya Nchini Misri imegoma kushiriki mechi yao ya dabi dhidi ya Zamalek inayotarajiwa kuchezwa leo ikisisitiza kuwa Shirikisho la Soka la Misri (EFA) linapaswa kuteua Mwamuzi wa kigeni badala ya kutumia Waamuzi wa ndani pia Klabu hiyo imetishia kujiondoa kwenye Ligi Kuu ya Misri endapo ombi lao halitatekelezwa. Dabi hiyo ilikuwa…