LEGEND MKUDE ASEPA NA TUZO

LEGEND Jonas Mkude alipewa kitambaa cha unahodha katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi 2024 dhidi ya KVZ. Baada ya dakika 90 Januari 4 ubao ulisoma Yanga 0-0 KVZ wakigawana poiñti mojamoja ambapo Yanga inafikisha pointi 7 kibindoni. Mkude alipewa tuzo ya mchezaji aliyeonesha mchezo wa kiungwana ambapo ni zawadi ya laki mbili alipata kutoka kwa…

Read More

YANGA KUMSHUSHA MSHAMBULIAJI HUYU

INAELEZWA kuwa Klabu ya Yanga ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya mshambuliaji wa Medeama Jonathan Sowa. Hiyo yote ni kwa ajili ya kuboresha eneo la ushambuliaji ambalo halijapata mbadala sahihi baada ya kusepa kwa Fiston Mayele. Kasi ya Yanga kwa sasa kwenye ufungaji sio yakubeza lakini inaongozwa na viungo washambuliaji. Ni Aziz KI huyu…

Read More

AFCON IWE NJIA YA KUTUSUA KIMATAIFA, KAZI IFANYIKE

KADRI kila siku zinavyozidi kwenda wachezaji wanatambua namna ushindani ulivyo mkubwa kwenye mashindano husika. Ipo wazi kwa namna ambavyo mashindano yanazidi kuendelea hapo ndipo ugumu wake unaongezeka. Hatua moja inaleta hatua nyingine ambacho kinatakiwa kufanyika ni kwa kila hatua kuwa na mipango makini ambayo italeta matokeo mazuri hapo kesho. Ipo wazi kwamba ambacho kipo mbele…

Read More

CRIS JABAR MWAMBA ANAYEWAZA KITAIFA NA KIMATAIFA

UKIITAJA Tandale basi utapewa zile habari za mwamba Nassib Abdul ambaye jina lake maarufu anaitwa Diamond kuwa yeye hapo ndio maskani yake na muziki wake ulianzia hapo mpaka leo      katusua kitaifa na kimataifa. Vipaji vingi vipo Nyanda za Juu Kusini pia ambapo ukiigusa mitaa ya Njombe Mjini mitaa ya Mpechi kuna Christopher Muhagama…

Read More