
YANGA: SAFARI YETU IMEFIKA MWISHO MAPINDUZI
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa yote yalitokea katika Kombe la Mapinduzi 2024 wanashukuru huku safari yao ikigotea robo fainali. Chini ya Miguel Gamondi katika mechi tatu za hatua ya makundi ndani ya dakika 270 ilishinda mbili na kuambulia sare moja ikakomba pointi 7 kati ya 9. Januari 7 ilishuhudia ubao wa Uwanja wa…