
JUDE NA CR 7 MECHI ZAO 10 WALIVYOKIWASHA
Jude Bellingham amekuwa na mwanzo wa kushangaza pale Real Madrid, lakini unajua kuna rekodi amevunja baada ya mechi 10 ukimlinganisha na Cristiano Ronaldo? Ronaldo ndiye lejendi wa Real Madrid akiitumikia klabu hiyo na kuipa mafanikio makubwa ikiwemo rekodi ya kufunga mabao 450 aliyofunga sambamba na kushinda mataji mengi. Real Madrid hakushinda taji lolote msimu wa…