
CR KAFUNGA MWAKA KWA MABAO KIBAO
MAISHA yake kwa sasa ya soka ni Saudi Arabia katika Klabu ya Al Nassr inayoshiriki Saudi Professional League. Ni Desemba 30, Al Nassr ilikipiga dhidi ya Al-Taawoun na kushinda mabao 4-1, kwenye mchezo wa ligi. Katika ushindi huo wa Al Nassr, Ronaldo yeye alitupia bao moja dakika za lala salama kwa mpira wa kichwa. Bao…