
AFCON IWE NJIA YA KUTUSUA KIMATAIFA, KAZI IFANYIKE
KADRI kila siku zinavyozidi kwenda wachezaji wanatambua namna ushindani ulivyo mkubwa kwenye mashindano husika. Ipo wazi kwa namna ambavyo mashindano yanazidi kuendelea hapo ndipo ugumu wake unaongezeka. Hatua moja inaleta hatua nyingine ambacho kinatakiwa kufanyika ni kwa kila hatua kuwa na mipango makini ambayo italeta matokeo mazuri hapo kesho. Ipo wazi kwamba ambacho kipo mbele…