
MASTAA YANGA WAPEWA ONYO
MASTAA wa Yanga ambao walifunga 2023 kwa kujenga ushikaji na benchi kwenye mechi za Ligi Kuu Bara wamepewa onyo na benchi la ufundi kuhakikisha kwamba wanatumia vema nafasi watakazopewa. Ipo wazi kwamba Skudu Makudubela, Cripin Ngushi, Denis Nkane, Jesus Moloko, Jonas Mkude, Aboutwalib Mshery, Kibwana Shomari hawakuwa na nafasi ya kuanza mara kwa mara kikosi…