BAADA YA DROO CAF, SIMBA WAJA NA NENO HILI

TAYARI Simba wamewatambua wapinzani wao watakaokutana nao kwenye mechi za kimataifa hatua ya makundi. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira imepangwa kundi B ambapo inasaka nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali. Droo hiyo imechezwa leo Oktoba 6, Afrika Kusini na Simba wameweka wazi kuwa malengo yao ni kupata matokeo kwenye mechi zao za…

Read More

MANCHESTER UNITED WANYOOSHWA UGENINI

DAVID De Gea kipa namba moja wa Manchester United amesema kuwa wapo kwenye wakati mgumu kwa sasa kutokana na matokeo ambayo wanayapata ila wanawashukuru mashabiki kwa namna ambavyo wanakuwa nao. Baada ya dakika 90 kukamilika ubao ulisoma Watford 4-1 Manchester United. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Vicarage Road licha ya uwepo wa Cristiano Ronaldo…

Read More

ASHA MASAKA AANZA CHANGAMOTO MPYA SWEDEN

MSHAMBULIAJI wa Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake, Twiga Stars, Asha Masaka ambaye alikwea pipa kwa na kuibukia  Sweden Machi 30 tayari ameshatambulishwa kwenye timu yake mpya na kuanza kazi. Nyota huyo amepata dili la kujiunga na Klabu ya BK Hacken inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake Sweden kwa makubaliano na Klabu ya Yanga Princes…

Read More

MAKAMBO ATUPIA MBELE YA MLANDEGE,ZANZIBAR

HERITIER Makambo nyota wa Yanga alipachika bao pekee la ushindi katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja Aman dhidi ya Mlandege FC ya Zanzibar.   Katika mchezo huo dakika 45 za awali ngoma ilikuwa ngumu kwa pande zote mbili kupenya katika nyavu na kuwafanya waende mapumziko wakiwa wametoshana nguvu. Ilibidi Yanga wasubiri mpaka dakika ya 49…

Read More

SIMBA YAPOTEZA KARIAKOO DABI NYUMBANI

SIMBA inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids imepoteza mchezo wa Kariakoo Dabi Uwanja wa Mkapa kwa kushuhudia ubao ukisoma Simba 0-1 Yanga. Bao pekee la ushindi kwa Yanga limefungwa na Maxi Nzengeli dakika ya 86 akitumia makosa ya kipa wa Simba Mussa Camara kutema faulo iliyopigwa na Clatous Chama. Simba walikosa utulivu kipindi cha kwanza…

Read More

MWEDNO WA RUVU NI WA KINYONGA

MWENDO wa Ruvu Shooting kwa msimu wa 2022/23 hakika ni wa kinyonga kutokana na kushindwa kuwa kwenye ule ubora wao wa kupapasa. Kwenye msimamo ipo nafasi ya 15 imekusanya pointi 20 baada ya kucheza mechi 25. Ukuta wao umeruhusu kutunguliwa mabao 30 huku ile safu yao ya ushambuliaji ikitupia mabao 16. Timu hiyo imepoteza jumla…

Read More

TUMAINI MABIGWA MERIDIAN BET STREET SOCCER BONANZA

  Timu ya Tumaini imetwaa ubingwa wa mashindano ya mtaani ya Meridian Bet street soccer bonanza yaliyofanyika leo Jumamosi kwenye uwanja wa Mwembeyanga, Temeke. Bonanza hilo lililoudhuliwa na mkuu wa kituo cha Mwembeyanga, msaidizi wa polisi Cathbert Christopher kwa niaba ya mkuu wa kituo cha Chang’ombe, ASP Mohammed lilishirikisha timu nne likipigwa kwa udhamini wa…

Read More

YANGA KUCHEZA MCHEZO WA HISANI KESHO AZAM COMPLEX

KLABU ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi raia wa Tunissia kesho, Jumamosi Machi 12 inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya timu ya taifa ya Somalia. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa  Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku ikiwa ni sehemu ya mandalizi ya mchezo wao ujao wa ligi dhidi ya KMC….

Read More

KUMTOA BEKI HUYU AZAM FC, JIPANGE KWELIKWELI

MABOSI wa Simba na Yanga kwa sasa ikiwa watakuwa wanahitaji kupata saini ya beki wa kazi ndani ya kikosi cha Azam FC,Daniel Amoah lazima wajipange kwa kuwa amejifunga miaka mingine zaidi. Novemba 4, Amoah ambaye ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, George Lwandamina aliongeza dili la miaka miwili hivyo ataendelea kuwa ndani ya Azam…

Read More

ASANTE JANUARI, KARIBU MWEZI WA UPENDO

YAPO mengimengi ambayo yanakatisha tamaa lakini yasikupe maumivu ukaacha kupambana kwa ajili ya kufikia malengo. Ilikua hivyo Januari Mosi kwenye mapambano na sasa ni Januari 31, unadhani unaweza kusema nini zaidi ya asante Januari, karibu mwezi wa upendo Februari. Yote kwa yote kuna matukio ambayo yalitokea ndani ya Januari yataishi kwenye kumbukumbu namna hii katika…

Read More

JESHI LA SIMBA DHIDI YA YANGA HILI HAPA

ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba ameanza na jeshi hili dhidi ya watani zao wa jadi Yanga. Novemba 5 2023 itakuwa ni rekodi kwa wababe hawa wawili kusaka pointi tatu baada ya dakika 90 kukamilika. Hiki hapa kikosi cha Simba kipo namna hii:- Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohamed Hussein, Henock Inonga, Che Malone, Fabrice Ngoma,…

Read More