
KAGERE NA KILICHO NYUMA YA MNAFIKI ISHI NAYE KINAFIKI
MSHAMBULIAJI wa Singida Fountain Gate Meddie Kagere amesema kuwa ujumbe wake aliouandika kwenye fulana baada ya kufunga kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union ni aina ya ushangiliaji aliochagua. Novemba 27 Kagere alifunga bao lake la kwanza kwenye ligi na wakati wa kushangilia alionyesha fulana iliyoandikwa, “Mnafiki ishi naye kinafiki,”. Akizungumza mara baada ya mchezo huo…