
BAADA YA HAT TRICK YA AZIZ KI… SIMBA: HATUNA HOFU, KIATU NI CHA BALEKE
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa kwa namna wachezaji wao walivyo na shauku ya kufunga mabao mengi kwenye kila mechi wanazocheza ndani ya ligi wana imani tuzo ya kiatu bora itakuwa kwenye mikono yao msimu wa 2023/24. Kauli hiyo ni kama kumpora kiatu cha ufungaji bora mwamba Aziz Ki ambaye kwa sasa ni kinara wa utupiaji…