
YANGA SC 3-0 NAMUNGO FC, JASHO ILIVUJA DAKIKA 90
MCHEZO wa mzunguko wa pili uliochezwa Uwanja wa KMC Complex baada ya dakika 90 ubao ulisoma Yanga SC 3-0 Namungo FC huku jasho likiwavuja wachezaji kwenye kutimiza majukumu yao. Hapa tunakuletea baadhi ya walichokifanya wachezaji wa timu zote mbili katika kutimiza majukumu yao ilikuwa namna hii:- Djigui Diarra Djigui Diara alisepa na dakika 90 na…