SLOTI YA LUCKY DOLPHIN KASINO YENYE MANDHARI YA BAHARINI

Unambiwa bahari imebeba viumbe vingi vya ajabu, samaki, majini na madini, lakini pia rasilimali zenye utajiri mkubwa kama mafuta na gesi kwa kiasi kikubwa vinapatikana baharini waulize wavuvi watakwambia juu ya maajabu ya baharini. Meridianbet kasino mtandaoni inakurudisha baharini kuusaka utajiri kupitia mchezo wa kasino unaitwa Lucky Dolphin. Lucky Dolphin ni sloti ya kasino mtandaoni…

Read More

AZIZ KI ATAJWA KUINGIA RADA ZA YANGA

 IMEELEZWA kuwa Yanga ipo kwenye mpango wa kuinsa saini ya kiungo mshambuliaji wa ASEC Mimosas Aziz Ki ili aweze kuongeza nguvu kwa msimu ujao wa 2022/23. Nyota huyo alikuwa anapigiwa hesabu pia na Simba ambayo kwa sasa ipo chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Seleman Matola baada ya Pablo Franco kuchimbishwa ndani ya kikosi hicho. Ni…

Read More

NYOTA WA AZAM FC WASUKWA KUIKABILI YANGA

ZIMEBAKI siku tatu kabla ya Mzizima Dabi kupigwa ndani ya Uwanja wa Azam Complex, mastaa wa Azam FC ikiwa ni pamoja na Prince Dube, James Akamiko, Idd Suleiman, (Nado) wanapewa mbinu kuikabili Yanga. Mastaa hao wapo chini ya Kocha Mkuu, Yusuph Dabo aliyetoka kukiongoza kikosi kusepa na pointi tatu ugenini dhidi ya Coastal Union, kwenye…

Read More

WACHEZAJI ONYESHENI MAKALI UWANJANI

HAKUNA anayependa kuona anakosa nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza kwenye mechi ambazo timu yake itakuwa inacheza ndani ya uwanja. Imekuwa kawaida kwa wachezaji wanaopewa nafasi kutoonyesha utofauti wao na yule ambaye anakuwa asungua benchi jambo ambalo linapaswa kuwa tofauti. Sababu kubwa ya wachezaji kuwekwa benchi ni kushindwa kwenda na mpango kazi wa benchi la…

Read More

MITAMBO YA KAZI YANGA IPO KAMILI KIMATAIFA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga leo watakuwa Uwanja wa Mkapakusaka ushindi dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Kwenye mchezo wa leo mitambo ya kazi ambayo haikuwa fiti inatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi miongoni mwao ni Khalid Aucho, Pacome, Zawad Mauya huku YaoYao na Kibwana Shomari ripoti ya daktari itaamua uwepo…

Read More

MANUNGU MILANGO MIGUMU,MTIBWA SUGAR O-0 SIMBA

UWANJA wa Manungu milango ni migumu kwa timu zote mbili hakuna ambaye ameona lango. Wanagawana pointi mojamoja katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliokuwa na ushindani mkubwa. Aishi Manula na Shaban Kado hawa wote wameibuka na ushujaa kwa kuwa hakuna ambaye ameokota mpira wavuni. Simba ina kibarua kizito sasa kwa Kagera Sugar mchezo unaofuatwa  na…

Read More