
SIMBA KAZI INAENDELEA MATIZI KAMA YOTE
WAKIWA Uturuki tayari wameanza mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2023/24 huku watani zao wa jadi Yanga wakiwa Bongo, Avic Town. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2022/23 Simba ilipishana na mataji yote iliyokuwa inapambania na kushuhudia watani zao wa jadi Yanga wakitwaa mataji hayo. Chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kikosi cha Simba kinajifua…