
SINGIDA FOUNTAIN GATE YAIPIGA MKWARA SIMBA
KUELEKEA kwenye mchezo wa nusu fainali ya Mapinduzi 2024 Kocha Msaidizi wa Singida Fountain Gate, Nizar Khalfan amesema wanaamini mchezo wao dhidi ya Simba hautakuwa mwepesi ila wamejipanga kuhakikisha wanapata ushindi. Ipo wazi kuwa walipokutana kwenye mchezo wa hatua ya makundi ubao ulisoma Simba 2-0 Singida Fountain Gate hivyo wanakwenda kukutana kwa mara nyingine tena Januari…