KIMATAIFA SHUGHULI NI KUBWA MIPANGO MUHIMU

KUTABIRIKA kwa matokeo hakuna kwenye ulimwengu wa soka kutokana na kila timu kujipanga kwa umakini kupata ushindi. Iwe ni nyumbani ama ugenini kwa sasa kila timu ina nafasi ya kupata matokeo hasa kwenye mechi za kimataifa ambazo ufuatiliaji wake huwa ni kwa ukaribu. Wale ambao hawajaanza maandalizi kwenye mechi za kimataifa kwa sasa kazi ni…

Read More

VIDEO:IBWE AFUNGUKIA KUTANGAZA SARE ZA SIMBA

HASHIM Ibwe,mtangazaji wa Azam TV ameweka wazi sababu inayofanya kila anapotangaza mechi za Simba matokeo kuwa ni sare ndani ya dakika 90 kwa msimu wa 2021/22. Ilikuwa ni kwenye mchezo dhidi ya Yanga uliokamilika kwa suluhu kisha mchezo wa pili ulikuwa ni ule dhidi ya Namungo FC uliochezwa Uwanja wa Ilulu na ubao ulisoma Namungo…

Read More

AZAM FC WAMEANZA NAMNA HII NA BENCHI JIPYA

BENCHI jipya la ufundi la Azam FC mchezo wao wa kwanza wa Ligi Kuu Bara limeshuhudia wakigawana pointi mojamoja dhidi ya wapinzai wao Pamba Jiji katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Septemba 14 2024. Ikumbukwe kwamba mchezo wa kwanza wa ligi msimu wa 2024/25 ilikuwa JKT Tanzania 0-0 Azam FC wakati huo timu ilikuwa…

Read More

SIKU YA MALARIA DUNIANI IMEWAKUTANISHA MERIDIANBET NA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA AMANA

Katika kuadhimisha siku ya Malaria Duniani kwa mwaka 2022, kampuni ya michezo ya kubashiri, Meridianbet, imeungana na watanzania na dunia kwa ujumla katika kuongeza nguvu kwenye mapambano makali dhidi ya ugonjwa wa Malaria. Ugonjwa wa Malaria unaripotiwa kuwa chanzo cha vifo vya watoto (hasa wenye umri chini ya miaka 5) na hivyo kwa sehemu kubwa,…

Read More

KIPA MPYA SIMBA HUYU HAPA

RASMI Klabu ya Simba imetangaza nyota Jefferson Luis raia wa Brazil kuwa kipa mpya ndani ya timu hiyo. Kipa huyo ni nyota wa 10 kusajiliwa ndani ya Simba ambayo imeweka kambi Uturuki kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2023/24. Alikuwa anacheza Klabu ya Resende FC ya Serie D ya Brazil na msimu uliopita alicheza…

Read More

MANCHESTER UNITED KOCHA HUYU ATAJWA

Habari za chini ya kapeti zinamtaja Brendan Rodgers kama kocha atakayepewa kibarua pale Old Trafford, pindi atakapoondoshwa mtoto wa nyumbani Ole Gunner Solskjaer.   Rodgers aliwahi kufundisha Liverpool ambayo aliifikisha nafasi ya 2 kwenye msimu wa 2013/14. Muda mfupi baada alijiunga na Celtic kabla ya 2019 kurejea kwenye EPL na kuichukua Leicester City ambayo bado yupo nayo, mpaka sasa…

Read More

SIMBA WAREJEA KUAANZA NA MBEYA CITY KWA MKAPA

“TUMEREJEA kutoka kambi ambayo imekuwa na manufaa makubwa na kazi inaendelea kwenye mechi za Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika,” maneno ya Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ndani ya Simba, Ahmed Ally. Leo Januari 17,2023 kikosi hicho kimerejea kutoka Dubai ambapo kiliweka kambi kwa muda chini ya Kocha Mkuu, Robert Oliviera…

Read More

YANGA YATEMBEZA 4G MBELE YA DODOMA JIJI

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wamegawa dozi ya 4G kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC Bank. Ni Merry Christmas 2024 ambapo Dodoma Jiji ni mashuti matatu pekee yaliyopigwa na kulenga lango huku Yanga mashuti matano na manne yalijaa nyavuni. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Jamhuri,…

Read More

NABI AFUNGUKIA ISHU YA MABAO KIMATAIFA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kufungwa kwa timu hiyo kutokana na mipira ya adhabu ni sehemu ya mpira. Yanga ikiwa imefungwa mabao 7 kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, kuanzia hatua ya makundi mpaka fainali imefungwa mabao matano yaliyotokana na mapigo huru. Miongoni mwa mabao ambayo walifungwa yaliyotokana na mapigo huru ilikuwa kwenye…

Read More

MTAMBO HUU WA MABAO YANGA KUWAKOSA WAARABU

IMELEEZWA kuwa mshambuliaji wa Yanga, Hafidh Konkoni huenda akaukosa mchezo wa marudiano wa Hatua ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika watakaocheza dhidi ya Al Merrikh ya Sudan. Mchezo unatarajiwa kupigwa Septemba 30, mwaka huu saa moja kamili kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Straika huyo hivi…

Read More

YANGA NA SHANGWE NDANI YA MBEYA

BAADA ya kuwa kwenye hafla maalumu iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kikosi cha Yanga leo kitakuwa na kazi Mbeya. Wachezaji wa Yanga pamoja na Benchi la ufundi Juni 5, 2023 walikuwa kwenye halfa ya pongezi kwa Yanga kwa kufanikiwa kufika Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Safari…

Read More