
NGOMA NZITO, POLISI TANZANIA YAWAPIGA MKWARA YANGA
MABINGWA watetezi wa Kombe la Azam Sports Federation Yanga leo wanakibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa raundi ya tatu. Februari 19 kuna mechi ambazo zilichezwa katika raundi ya tatu na matokeo ilikuwa Coastal Union 1-0 Mbeya Kwanza, Singida FG 2-0 FGA Talents na Dodoma Jiji 2-1 Biashara United leo ni zamu ya Yanga. Ali…