
KHADIM ATAJWA KUIBUKIA SIMBA SC NI BEKI WA MPIRA
WAKATI beki Mohamed Hussen Zimbwe Jr ambaye amedumu Msimbazi kwa miaka 11 akitajwa kuibukia ndani ya kikosi cha Yanga SC, inaelezwa kuwa kuna beki wa kazi anakuja kumalizana na Simba SC. Chini ya Fadlu Davids, msimu wa 2024/25, Zimbwe Jr alicheza mechi 27 za ligi na alifunga bao moja ilikuwa kwenye mchezo dhidi ya Coastal…