
AZAM FC KUWAKABILI YANGA WAKITOKA KUFUNGWA
BAADA ya mchezo wao uliopita wakiwa ugeneni kupoteza kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Liti ukisoma Singida Black Stars 1-0 Azam FC, kituo kinachofuata ni dhidi ya Yanga. Matajiri wa Dar kwenye mechi mbili ugenini walipata ushindi mchezo mmoja na kuambulia kichapo mchezo mmoja ambapo ushindi ilikuwa Uwanja wa Sokoine, baada ya dakika 90 ubao…