
SAKATA LA MECHI YA YANGA NA SIMBA LATINGA BUNGENI, SERIKALI YATOA KAULI
Sakata la mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga na Simba limechukua sura mpya, baada ya kutinga bungeni, huku serikali kuombwa itoe kauli kuhusu kinachoendelea. Suala hilo liliibuliwa asubuhi leo Juni 11, 2025 na Mbunge wa Makete, Festo Sanga kwenye swali lake la nyongeza kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, akiomba…