
SIMBA KWENYE MTIHANI MZITO KIMATAIFA AFRIKA KUSINI
SIMBA SC imekamilisha dakika 90 za mwanzo Uwanja wa Amaan kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stellenbosch FC ya Afrika Kusini. Bao pekee la uongozi limefungwa na Jean Ahoua kwa pigo la faulo dakika ya 45 akitumia mguu wake wa kulia. Kwa matokeo…