
YANGA YAZINDUA KAMPENI YA “TOFALI LA UBINGWA” KWA AJILI YA USAJILI WA WACHEZAJI BORA
Dar es Salaam, Tanzania – Klabu ya Yanga SC kupitia kwa Msemaji wake, Alikamwe, leo imezindua rasmi kampeni mpya iitwayo “Tofali la Ubingwa” inayolenga kuchangisha fedha kutoka kwa mashabiki na wanachama ili kusaidia timu katika usajili wa wachezaji wenye ubora wa hali ya juu. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Kamwe amesema kampeni hii ni sehemu…