
REAL MADRID YASONGA FAINALI YA COPA DEL REY DHIDI YA REAL SOCIEDAD
Real Madrid imesonga mbele kwenda fainali ya kombe la Copa del Rey kufuatia ushindi wa jumla wa 5-4 dhidi ya Real Sociedad kwenye nusu fainali na imetangulia fainali kumsuburi mmoja kati ya Barcelona au Atletico Madrid. Real Madrid ilishinda 1-0 kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza kabla ya kutoshana nguvu kwa sare ya 4-4 kwenye…