
SIMBA, YANGA ZAGONGANA KWA MSHAMBULIAJI MGHANA
WATANI wa jadi Simba na Yanga kwenye hesabu za kuboresha eneo la ushambuliaji inatajwa kuwa wamegongana kuwania saini ya raia wa Ghana, Jonathan Sowa ambaye yupo ndani ya kikosi cha Singida Black Stars. Nyota huyo ambaye ni ingizo jipya ndani ya Singida Black Stars amekuwa imara kwenye eneo lakutupia mabao ambapo kwenye mechi ambazo amecheza…