
YANGA YAWASILI MISRI KUWAKABILI WAARABU
MSAFARA wa kikosi cha Yanga inayofundishwa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi kimewasili salama nchini Misri kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Timu hiyo inatarajiwa kuvaana na Waarabu wa Misri Al Ahly kwenye mchezo wa mwisho wa kundi D na timu zote zina uhakika wa kuwa ndani ya robo fainali Ligi ya Mabingwa…