
YANGA NA SIMBA MWENDO WA FAINI, ADHABU YA CHAMA NDOGO
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu nchini imezitoza faini Simba na Yanga kutokana na kosa la kuingia katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kupitia milango isiyo rasmi siku ya mchezo wa KariakooDerby uliyochezwa April 20, 2024. Kutokana na kosa hilo kamati imeitoza Yanga SC Shilingi milioni tano (5,000,000) baada ya…