
TIMU ZILIZOFUZU ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA
Hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imekamilika huku wababe 8 wa Ulaya wakitinga robo fainali. Atletico Madrid na Borussia Dortmund zimeungana na Real Madrid, Manchester City, Barcelona, Arsenal, Bayern Munich na PSG kwenye hatua hiyo kufuatia ushindi usiku wa kuamkia leo. Atletico Madrid imefikia hatua hiyo baada ya ushindi wa penalti 3-2…