
LIGI KUU BARA KIVUMBI LEO
MACHI 16 Ligi Kuu Bara inatarajiwa kuendelea ambapo kutakuwa na dakika 90 za jasho kwa wanaume kusaka pointi tatu ndani ya uwanja. Saa 10:00 jioni, Singida Fountain Gate watakuwa Uwanja wa CCM Kirumba wakiwakaribisha Namungo FC Singida Fountain Gate na Namungo wanakutana ikiwa wote wametoka kupoteza michezo yao iliyopita. Namungo Machi 8 mchezo wake wa…