
NGOMA HII HAPA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
RASMI leo Machi 12 2024 droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa ambapo kila mmoja ametambua atakayekutana naye ndani ya uwanja kusaka ushindi kutinga hatua ya robo fainali. Simba imepangwa kukutana na Al Ahly ya Misri wakati Yanga ikiangukia mikononi mwa Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika michezo yao ya robo fainali Ligi ya Mabingwa…